PMF Restaurant tunatoa Huduma ya chakula na vinywaji vilivyoandaliwa kwa umakini na katika mazingira salama
Local Pizza
karibu ujipatie piza yako kwa bei nafuu kabisa
Soft Drinks
PMF Restaurant ndipo mahali pekee ndani ya wilaya Tarime utaweza kujipatia vinywaji laini vya aina yote.
nyama Rosti
kwa wapenzi wa nyama rosti karibuni PMF restaurant ujipatie nyama safi kwa bei nafuu kabisa
Burger
barger pia zinapatikana ndani ya PMF Restaurant fika sasa ujipatie kwa bei nafuu kabisa
kuku rosti
Kuku wanapatikana
PMF Restaurant ni mgahawa mpya kabisa unaomilikiwa na taasisi ya professor Mwera Foundation. Tunajishughulisha na uuzaji na usambazaji wa vyakula, matunda pamoja na vinywaji laini
Tunapatikana Tarime mjini, Mkabala na Goldland Hotel
Huduma Zetu ni Nafuu na zenye ubora zaidi
Vyakula vyetu ni safi na salama
Tuna parking ya kutosha na yenye ulinzi wa hali ya juu.
Tunatoa huduma ya kujifunza muziki (kupiga Gitaa) kwa wateja wetu.
Tunafanya delivary kwa wateja wetu
Aina mbalimbali ya vyakula vinavyopatikana.
Chakula kitamu Kinapatikana Hapa
Kaibu kwa huduma bora na haraka zaidi.
-15%
Matunda
Bei:
$69.00
-10%
Price:
$39.00
-25%
kuku rosti
Price:
59.00
-20%
Price:
59.00
-5%
Price:
59.00
-15%
Chicken
Price:
59.00
Huduma zetu ni bora na rafiki
Kwa Mahitaji Bora!
Tunatoa huduma za Delivery Kwa Haraka zaidi & Popote ulipo
Huduma zate ziko tayari kwa ajili yako.
Karibu PMF Restaurant
Jipatie huduma bora ya chakula kwa bei nafuu Zaidi.